InfoTaaluma Mzazi

by InfoTaaluma Co Ltd


Education

free



InfoTaaluma Mzazi App ni program inayomsaidia mzazi kufuatilia maendeleo yote ya mtoto wake kutoka shule mahali popote atakapokuepo kama vile Mahudhurio ya darasani,Matokeo ya mitihani,ripoti za mihula,Namba za walimu wake,Ratiba ya darasa na Kuangalia malipo na kulipia michango yote shuleni